- Matibabu ya tatizo hili hufanyika baada ya kugundua chanzo cha tatizo na mara nyingi tiba Yake ni tiba ya dawa za antibiotics kitu ambacho si tiba nzuri zaidi kwa sababu tatizo huweza kujirudia kila wakati na kusababisha matatizo zaidi hivyo tiba nzuri ni kuepuka hili tatizo kwa kufanya yafuatayo;
*EPUKA KUJIINGIZA VIDOLE MARA KWA MARA UKENI*
*EPUKA MATUMIZI YA DAWA ZA ANTIBIOTICS MARA KWA MARA*
*PUNGUZA KULA VYAKULA VYENYE SUKARI NYINGI*
*TUMIA PADS ZENYE ANIONS NI SALAMA KWA AFYA YAKO*
*SAFISHA VIZURI NGUO ZAKO ZA NDANI NA UZIANIKE JUANI NA HATA KUZIPIGA PASI*
*KUNYWA MAZIWA MTINDI ,JUICE YA APPLE,STRAWBERRY, NANASI KWA WINGI*
*EPUKA KUFANYA NGONO ZEMBE*
*HAKIKISHA UNAJISAFISHA KILA UNAPOMALIZA KUJISAIDIA KWA KUANZIA MBELE KISHA NYUMA*
*EPUKA KUTUMIA DAWA ZA KUZUIA MIMBA*
*EPUKA KUTUMIA SABUNI AU VITU VYA MANUKATO UKENI*
*EPUKA KUINGIZA VITU HOVYO UKENI KWA KISUNGIZIO CHOCHOTE , KAMA KUONGEZA LADHA AU UKAVU*
*EPUKA KUWEKEWA MATE WAKATI WA TENDO AU NGONO YA UKE KWA MDOMO* / *ORAL SEX**NOTED* : Wanawake wengi mnapenda kutumia baadhi ya dawa kwa lengo la kuongeza vionjo kwenye mapenzi pia kufanya uke kunukia vizuri, au kukaza uke rafiki uke una harufu nzuri sana ambayo haipatkan kokote hivyo haihitaji kuwekwa pafyumu Wala kusafishwa kwa sabuni za kemikali kwani huwa panajisafisha hivyo ni heri ukaacha kutumia kwani madhara Yake hayaonekani sasa ila baada ya Muda huonekana.
- 𝗞𝗪𝗔 𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜
Wasiliana nasi Kwa namba
0714100697
