FAHAMU NAMNA SAHIHI YA KUTIBU UGONJWA WA KISUKARI. AINA YA 2.( diabetic 2).
Kisukari ni hali Ambayo inatokea wakati kiwango kikubwa cha sukari kinazidi mwilini (kwenye damu) kutokana na kongosho kushindwa kuzalisha kiwango cha kemikali iitwayo INSULIN, au sababu zingine.
KUNA AINA NNE ZA KISUKARI AMBACHO KINAWAKUMBA WATU WENGI.
• Diabetes type 2 - hii ni Aina ya kisukari Ambayo kinatokea wakati mwili unakuwa na kiwango kikubwa cha sukari inaweza ikawa sababu ni kutozalishwa kwa INSULIN ya kutosha kwenye kongosho.
• Prebiabetes - hii ni Aina ya sukari Ambayo inaweza isioneshe dalili zozote kwa mhusika na inatokea kutokana na kiwango cha juu cha sukari kwenye damu ambacho hakijawa kikubwa sana.
• Diabetes type 1 - hii ni Aina ya kisukari Ambacho mtu Anapata kulingana na Hitilafu katika kinga za mwili ( Auto immuno disease ) na kuathiri uzalishaji wa seli zinazo husika kwenye kongosho.
• Gestational Diabetes- hii ni Aina ya sukari inayo wakubwa hasa wamama wajawazito na Asilimia kubwa huondoka yenyewe baada ya mama kujifungua ,
SABABU ZINAZOPELEKEA SUKARI KUPANDA.
• uzito mkubwa kupitiliza ,, hii ni kutokana na kiwango kikubwa cha mafuta Aina ya fat kwenye mwili, ambazo pia zinaweza kupelekea magojwa mengine kama moyo,pamoja na saratani.
• Historia katika katika familia,, familia Ambayo wazazi wamekubwa na Aina ya pili ya kisukari wanaweza kupata watoto wenye kisukari pia.
• hitilafu kwenye insulin -( insulin resistance) hii inatokea baada ya seli za misuli ,fati,pamoja na ini kushinda kuspond insulini.
• kutofanya mazoezi
• umri mkubwa
• magonjwa ya moyo
• shirikisho la juu la damu
• ujauzito.
VVIASHIRIA VYA MTU MWENYE KISUKARI.
• kukojoa sana mara kwa mara
• kujisikia kiu sana na mdogo kukauka
• uchofu na kichwa kuuma
• macho kutoona vizuri
• kupungua uzito
• kupata ganzi sehemu za miguu na mikono
• ngozi kuwa kavu ( kupauka).
UGONJWA WA SUKARI UNAWEZA KUPELEKEA MADHARA MAKUBWA YAFUATAYO.
• magonjwa ya moyo
• ugonjwa sugu wa figo
• kupoteza kumbukumbu
• vidonda visivyopona
• ugonjwa wa Akili
• kiharusi
Tunatoa huduma ya changamoto za mzunguko wa damu kwa kisukari,shinikizo la juu la damu,kiharusi .
Usʜᴀᴜʟɪ ɴɪ ʙᴜʀᴇ 0714100697
