UGONJWA WA HOMA YA INI 

NA MAMBO MUHIMU KUFAHAMU.


INI=ni kiungo muhimu Sana ndani ya miili yetu ,hufanya kazi Zaidi ya 500;

Moja ya kazi ni kuchuja na kuondoa sumu kwenye damu .


Kutokana na sababu mbali mbali Kama pombe iliyopita kiasi ,sumu kwenye damu au maambukizi ;ini hupata shida na Kuvimba na kushidwa Kufanya kazi vizuri .


Hii Hari huitwa HOMA YA INI AU HEPATITIS


Virusi vya homa ya ini viko aina zifuatazo

(A,B,C,D,E).


Aina mbili za virus (B,na C)ndio sababu kuu ndio sababu kuu za ugonjwa wa homa ya ini na ni janga linalo ya kimya kimya kulingana na takwimu za vifo za Duniani inakadiriwa kirusi Cha homa ya ini Aina ya (B)pekee huua watu 600,000 hivi kila mwaka .


NAMNA GANI UNAWEZA KUAMBUKIZWA VIRUSI VYA HOMA YA INI (B NA C)


Virusi vya homa ya ini B na C husambaa kupitia damu ,shahawa au maji maji mengine ya mwili .


Virusi hivi vinauwezo wa kusambaza kuambukiza mtu Mara 100 zaidi ya virusi vya Ukimwi 

Kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto 

•mama alie na maambukizi ya Hepatitis B Kumuambukiza mtoto wakati wa kujifungua .iwapi hamna juhudi za kujikinga na huu ugonjwa wa homa ya ini .


DALILI ZA MUDA MFUPI :


Dalili hizi  hutokea ndani ya miezi 6 Baada ya kuambukizwa virusi vya homa ya ini Hutokea kwa baadhi ya watu sio watu wote .


*Hupoteza hamu ya kula 

*Kichefu chefu na kutapika 

*Mwili kuuma na mkojo kuwa wa njano na kuwa na rangi iliyokolea Kama coca cola 

*Kupata manjano kwenye macho /viganja vya mikono ,Kucha au mwili mzima 


Madhara ya homa ya ini Aina ya B

✓kwa upande wa homa ya ini Aina ya B Maambukizi yake ni Mara 100 kulinganisha na virusi vya Ukimwi,Ni ugonjwa ambao unaweza dhuru binadamu lakini watu bado hawajaweka mkazo.


Kwa MATIBU Wasiliana nami nitakusaidia na matibabu ni ya miezi mitatu tu mfululizo,ili uweze kutibu homa ya ini ni kupandisha uwezo wa hao seli au Kinga kuwa na uwezo wa kushambulia virusi , virusi huuwawa na virusi mwenye nguvu zaidi ya virusi wanaoshambulia .

#hepatitis 

#Homayaini

#liverhealth 

#mwanza 

#diamondplatnumz 

#daressalam 

#MOI 

#wasafitv 

#mwanzamwanza 

#afyayauzazi 

Piga Simu kwa matibabu ya uhakika 

 WhatsApp/call/sms.  0714100697