𝐇𝐀𝐓𝐔𝐀 𝐍𝐍𝐄 (𝟒) 𝐙𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐔𝐍𝐆𝐔𝐙𝐀 𝐔𝐙𝐈𝐓𝐎
1.𝐒𝐇𝐀𝐊𝐄 𝐎𝐅𝐅 𝐏𝐇𝐘𝐓𝐎 𝐅𝐈𝐁𝐄𝐑
𝐊𝐮𝐬𝐚𝐟𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐚𝐮 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐚 𝐒𝐔𝐌𝐔 𝐦𝐰𝐢𝐥𝐢𝐧𝐢(detoxification)
Bidhaa salama zinatakiwa kukuhakikishia zinakuondolea mrundikano bila kukuletea usumbufu wala kuharisha .
2.𝐌𝐑𝐓 𝐂𝐎𝐌𝐏𝐋𝐄𝐗 (𝐅𝐚𝐭 𝐛𝐮𝐫𝐧𝐢𝐧𝐠)
𝐊𝐮𝐜𝐡𝐨𝐦𝐚/𝐤𝐮𝐲𝐞𝐲𝐮𝐬𝐡𝐚 𝐌𝐚𝐟𝐮𝐭𝐚 (fat burning)
Lazima bidhaa unazochagua kuzitumia zikupelekee kuchoma mafuta yaliyokuletea manyama uzembe .Hutakiwi kwa namna yoyote kukonda kwani kukonda ni ugonjwa .Wanaotumia bidhaa zetu wanaonekana wamependeza na kuvutia badala ya kuonekana kuwa wamekonda.
3.𝐒𝐏𝐋𝐈𝐍𝐀 𝐂𝐇𝐋𝐎𝐑𝐎𝐏𝐇𝐘𝐋𝐋.
(𝐊𝐮𝐬𝐚𝐰𝐚𝐳𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐧𝐚 𝐊𝐮𝐛𝐚𝐥𝐚𝐧𝐬𝐢)
•Bidhaa zinakuwezesha kusawazisha (ability to balance alkaline vs acid level)
Kwakuwa unapokuwa na uzito uliozidi, unakuwa huna uwiano unaofaa wa TINDIKALI na ALKALI mwilini , basi bidhaa unazozipa jukumu la kupunguza uzito uliokuzidia zinatakiwa kusawazisha na kuweka UWIANO wa VIWANGO vya TINDIKALI na ALKALI ili mwili ufanye kazi sawasawa.
4.𝐑𝐄𝐃 𝐘𝐄𝐀𝐒𝐓 𝐂𝐎𝐅𝐅𝐄𝐄.
(𝐊𝐮𝐭𝐢𝐚 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐨𝐧𝐝𝐨𝐚 𝐮𝐳𝐞𝐞/𝐮𝐜𝐡𝐚𝐤𝐚𝐯𝐮)
Kwakuwa uzito uliopitiliza hushambulia TISHU na KUUCHOSHA mwili, mwenye uzito mkubwa huonekana mkubwa kuliko umri wake.
Basi bidhaa zetu ambazo ni bora na salama zinaondoa uchakavu na kukufanya unawiri. Aidha bidhaa zetu hazikushoshi bali zinakufanya uendelee kuchangia na kufurahia kwa kutekeleza maamuzi yako sahihi ya KUPUNGUZA UZITO kwa BIDHAA zetu.
𝗨𝘀𝗵𝗮𝘂𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗯𝘂𝗿𝗲 𝗺𝗮𝘁𝗶𝗯𝗮𝗯𝘂 𝘆𝗲𝘁𝘂 𝘆𝗮𝗻𝗮𝗱𝗵𝘂𝗴𝗵𝘂𝗹𝗶𝗸𝗮 𝗻𝗮𝗰𝗵𝗮𝗻𝘇𝗼 𝗰𝗵𝗮 𝘁𝗮𝘁𝗶𝘇𝗼 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗺𝗮𝗹𝗶𝘇𝗮, 𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗹𝗲𝗼
𝐏𝐈𝐆𝐀 𝐀𝐔 𝐖𝐡𝐚𝐬𝐀𝐩𝐩
𝟎𝟕14100697
