FAIDA NA UMUHIMU WA MBO𝐆𝐀
YA MAJANI YA KUNDE.
Ni moja ya mboga za majani kwa majani yake na mbegu yake ikiwa bado mbichi ,huwa na wingi wa nishati, nyuzinyuzi ,protini , Vitamini A, B,C ,E na K.
_ Mboga hii huwa na faida zifuatazo;
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
●Huwa na mafuta kidogo ambayo husaidia kuthibiti uzito kupita kiasi.
● Huwa na nyuzi nyuzi na virutubisho vidogo vidogo vinavyosaidia umeng’enyaji wa chakula tumboni na kufanya chakula kisikae muda mrefu tumboni.
● Huwa na wingi wa protini ambayo husaidia kuponya mwili n majeraha na utengenezaji wa homoni
● Husaidia kuongeza kinga za mwili kutokana na kuwa na antioxidant nyingi kama flavonoids, carotenoid na polyphenols
● Husaidia kuondoa mikunyazi kwenye ngozi kutokana na kuwa na Vitamin E kwa wingi
● Husaidia kuthibiti sukari mwilini kutokana na kuwa na protini kwa wingi na nyuzi nyuzi ambazo huthibiti umeng’enyaji wa chakula cha sukari
● Kuwa na wingi wa Vitamin B1, B2 na folate husaidia kupunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo
𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐛𝐮𝐫𝐞 𝐭𝐮𝐩𝐢𝐠𝐢𝐞 𝐥𝐞𝐨 0714100697
