*HUONI PERIOD SABABU NI HIZI HAPA.*
Kukosa period kwa mwezi mmoja wakati mwingine inaweza isiwe shida ila ishu ni
pale unapopiga miezi 3-6 hadi mwaka
huoni kitu hapo kuna mambo ya kucheki.
🌹Lazima una tatizo kubwa la kiafya nyuma
ya pazia, la! sivyo basi utakuwa mjamzito.: Sababu hasa za kutoona period huwa ni
Pamoja na hizi zifuatazo:-
1. Kuwa na msongo wa mawazo wa kupindukia.
2. Kupungua au kuongezeka uzito sana.
3. Kushindwa kula, au kula sana vyakula
visivyokuwa na virutubisho muhimu.
4. Kufanya mazoezi kupita kiasi au kazi
ngumu sana kuliko mwili ulivyozoea.
5. Kufika ukomo wa hedhi mapema (Early
menopose)
6. Ujauzito na kunyonyesha ·
7. Magonjwa ya muda mrefu kama kisukari
na presha.
8. Kuwa na uvimbe kwenye mayai (PCOS✅Polycystic ovarian syndrome).
9. vurugiko wa homoni (hormonal
imbalance) 🌹Matibabu ya kukosa hedhi hutegemeana
na sababu zinazopelekea hali hiyo.
*Mfano kama ni uvimbe ndio
unaosababisha mvurugiko wa homoni,
matibabu yaliyozoeleka yanaweza kuwa
kuondoa uvimbe pamoja na matibabu ya
homoni Kuzirejesha kwenye usawa.*
*Njia nyingine ya kukabiliana na tatizo hili ni
Kutumia dawa zinazoyeyusha uvimbe.*
*Zipo
dawa za asilia ambazo zimetumika
Karne na karne kuondoa kabisa uvimbe
hata bila upasuaji*
*Hakikisha Matibabu unayopatiwa yanalenga
kiini cha Tatizo na siyo kupambana na matokeo*
*Kwa Msaada wa Matibabu kwa suala hili na changamoto za uzazi, wasiliana nasi moja
0714100697
𝐔𝐬𝐡𝐚𝐮𝐫𝐢 𝐧𝐢 𝐛𝐮𝐫𝐞 𝐤𝐚𝐛𝐢𝐬𝐚
