𝗧𝗢𝗞𝗢𝗠𝗘𝗭𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 [ 𝗛𝗘𝗣𝗔𝗧𝗜𝗧𝗜𝗦 ] 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗨𝗗𝗔 𝗪𝗔 𝗪𝗜𝗞𝗜 𝟭𝟮 - 𝗡𝗜 𝗦𝗨𝗟𝗨𝗛𝗜𝗦𝗛𝗢 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗡𝗔 𝗟𝗔 𝗞𝗨𝗗𝗨𝗠𝗨 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗥𝗘𝗝𝗘𝗦𝗛𝗔 𝗔𝗙𝗬𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗢𝗠𝗘𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗠𝗕𝗨𝗞𝗜𝗭𝗜:


𝐑𝐄𝐉𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐀𝐅𝐘𝐀 𝐍𝐀 𝐓𝐔𝐌𝐀𝐈𝐍𝐈 𝐉𝐄𝐌𝐀 𝐋𝐀 𝐌𝐀𝐈𝐒𝐇𝐀 𝐘𝐀𝐊𝐎:


𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜 [ 𝗛𝗘𝗣𝗔𝗧𝗜𝗧𝗜𝗦 𝗕 ] 𝗜𝗡𝗔𝗧𝗜𝗕𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗨𝗠𝗜𝗭𝗜 𝗦𝗔𝗛𝗜𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗗𝗢𝗭𝗜 𝗡𝗔 𝗠𝗔𝗭𝗜𝗡𝗚𝗔𝗧𝗜𝗢 𝗬𝗔 𝗟𝗜𝗦𝗛𝗘 𝗕𝗢𝗥𝗔:


𝗛𝗘𝗣𝗔𝗧𝗜𝗧𝗜𝗦 𝗕 :-  Ni homa ya INI  inayosababishwa na kirus wa Hepatitis B.


Virusi ivyo vina uwezo wa kusambaa na kuambukiza watu mara 100 zaidi ya virusi vya ukimwi.


Zifuatazo ni baadhi ya njia za usambaaji wa virusi vya homa ya ini ambazo ni pamoja na:-


➖ Kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto.


➖ Kufanya mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini.


➖ Kuchangia vifaa vyenye ncha kali kama sindano hasa kwa watumiaji wa madawa ya kulevya au wachora tattoo, miswaki.


➖ Kuongezewa damu ambayo ina maambukizi ya virus vya homa ya INI aina ya Hepatitis. 


➖ Kunyonyana Ndimi Denda’ na mtu mwenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini.


➖ Kuchangia taulo na mtu mwenye ugonjwa huu.


➖ Kubadilishana nguo na mtu mwenye ugonjwa huu au kukumbatiana wakati mkiwa mnavuja jasho.


Tafiti za kitaalamu zinaonesha kuwa virusi hivyo ni hatari kuliko virus vya ukimwi kwa sababu vinaweza kuishi nje ya mwili wa binadamu (yaani nje ya mfumo wa damu) kwa siku saba 7 hadi nane 8. 


Virusi vya ukimwi (VVU) havina uwezo wa kuishi nje ya mfumo wa damu hata kwa dakika moja.


Mtu mwenye homa ya ini ana wastani mdogo wa kuishi kuliko mwenye ukimwi. 


Kwa maana hiyo, mwenye maambukizi ya virusi vya homa ya ini hufariki dunia haraka sana kama hatopatiwa matibabu mapema basi huishi muda mfupi sana kuliko mwenye VVU.


𝗕𝗔𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗬𝗔 𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗜𝗧𝗢𝗞𝗔𝗡𝗔𝗭𝗢 𝗡𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜:


➖ Uchovu wa mara kwa mara. 


➖ Kichefuchefu muda mwengine kutapika.


➖ Mwili kuwa dhaifu na Kukosa nguvu (Uchovu wa mara kwa mara ).


➖ Homa kali usiku kutokwa na jasho jingi.


➖ Kupoteza hamu ya kula.


➖ Kupungua uzito na mwili kuwasha.


➖ Maumivu makali ya tumbo upande wa Ini yani upande wa kulia.


➖ Macho na ngozi kuwa vya njano.


➖ Mkojo wenye rangi ya kahawiya, mkojo kuwa na rangi iliyokolea kama coca-cola.


Kuna baadhi ya wagonjwa wa homa ya ini hukaa muda mlefu yani miaka mingi pasipo kuona dalili yoyote,


lakini kwakadiri siku zinavyo zidi kwenda na cell hizi za Ini huendelea kuchakaa kutokana na kushuka kwa 𝗗𝗡𝗔 na hatimae hupelekea Kiungo hiki kuanza kuharibika taratibu na kushuka kwa utendaji wake wa kazi na kupelekea Mgonjwa wa Homa Ya Ini kuja kupata ugonjwa mkali na kusababisha ini kushindwa kabisa kufanya kazi, hali hii huweza kusababisha kifo kwa mgonjwa. hatua hii huitwa “𝗙𝘂𝗹𝗺𝗶𝗻𝗮𝗻𝘁 𝗟𝗶𝘃𝗲𝗿 𝗙𝗮𝗶𝗹𝘂𝗿𝗲”.


Watu wenye maambukizi ya kudumu ya virusi vya homa ya ini mara nyingi huwa hawana dalili, lakini kwakadri muda unavyo zidi kwenda kama mgonjwa haja pata Tiba sahihi na salama ya kutibu changamoto hii, basi virusi hawa husababisha ini kusinyaa (𝗟𝗶𝘃𝗲𝗿 𝗖𝗶𝗿𝗿𝗵𝗼𝘀𝗶𝘀) na kushindwa kabisa kufanya kazi vyema. 


Pia maambukizi ya virusi vya homa ya ini huchangia kwa kiasi kikubwa sana katika kupata Kansa au saratani ya ini ambayo hujulikana kwa kitaalamu kama 𝗛𝗮𝗽𝗮𝘁𝗼𝗰𝗲𝗹𝗹𝘂𝗹𝗮𝗿 𝗖𝗮𝗿𝗰𝗶𝗻𝗼𝗺𝗮. hivyo jitahidi kupata suluhisho la kudumu la changamoto hii na Epuka matumizi ya Dawa aina ya Ant-Biotic au Pain killer kwani ni hatari kwa afya ya INI na FIGO.


Dalili huja kuonekana waziwazi miaka mingi baada ya mtu kuambukizwa. 


Kwa wenye maambukizi ya virusi aina C matibabu ya Dawa kwa wiki 8  humaliza tatizo  na Kupona kabisa. 


Na kwa wenye Virus aina ya B matibabu ya Dawa ni kwa wiki 12 adi 16 humaliza tatizo hili na Kupona kabisa


𝗨𝗦𝗛𝗔𝗨𝗥𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗠𝗨𝗢𝗡𝗔 𝗗𝗔𝗞𝗧𝗔𝗥𝗜 𝗛𝗨𝗧𝗢𝗟𝗘𝗪𝗔 𝗕𝗨𝗥𝗘...


Bonyeza namba hii kuwasiliana nasi kupitia WhatsApp au kupiga simu


  𝐍𝐨 0714100697




𝗪𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗣𝗢 𝗘𝗡𝗗𝗘𝗟𝗘𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔 𝗗𝗢𝗭𝗜 𝗨𝗧𝗔𝗣𝗘𝗪𝗔 𝗨𝗧𝗔𝗥𝗔𝗧𝗜𝗕𝗨 𝗪𝗔 𝗞𝗨𝗭𝗜𝗡𝗚𝗔𝗧𝗜𝗔 𝗟𝗜𝗦𝗛𝗘 𝗕𝗢𝗥𝗔 𝗦𝗔𝗠𝗕𝗔𝗠𝗕𝗔  𝗞𝗪𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗬𝗔 𝗛𝗢𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗜𝗡𝗜, 𝗜𝗟𝗜 𝗞𝗨𝗣𝗔𝗧𝗔 𝗠𝗔𝗧𝗢𝗞𝗘𝗢 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗬𝗔 𝗡𝗔 𝗬𝗔 𝗛𝗔𝗥𝗔𝗞𝗔 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗞𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗢𝗞𝗢𝗠𝗘𝗭𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗠𝗕𝗨𝗞𝗜𝗭𝗜.