*GLUZOJOINT Ultra Pro*


 *Imetengenezwa kwa PROTESYLYCAN pamoja na glucosamine ambazo kazi yake ni kuzalisha synovial fluid mwilinin ambayo nayo huzalisha uteute kwenye maungio pamoja na maumivu ya maungio*


*Gluzo Joint ni maalum kwa ajili ya maungio zaidi. Binadam anayo maungio takriban Nane yakiwemo Magoti, na mengine. Katika hivi viungio vinayao uteute, huu uteute ukiisha au kukauka ndipo viungio huanza kuuma.* 


*Bf Suma wameleta suluhisho bila upasuaji kwa kuongeza uteute mwilini. Nayo ni Gluzojoint.* 


*Gluzojoint imetengenzwa kwa Glucosamine Hydrochloride maalum kwa kuongeza uteute kwa samaki aina ya papa/ shark.*


*-KAZI YA GLUZOJOINT:-*

-Kuongeza uteute kwenye maungio hasa magoti. hivyo huwafaa wote wenye shida hizo.

-Huondoa maumivu kwenye maungio. (URIC ACID)



*Dosage : Pamoja na chakula 2×1 pamoja na chakula.*