*FAIDA ZA ZAMINOCAL CAPSULES KATIKA MWILI WA BINAADAMU - MADINI YA ZINC NA CALCIUM.*
Zinc ni elementi muhimu mno katika afya ya binadamu kiasi ambacho ukosefu kidogo unaweza kuleta madhara makubwa.
Zinc ni ya muhimu sana kwa sababu inapatikana ndani ya kila kiungo cha mwili cha binadamu na inahusika kwa karibu sana na kugawanyika kwa seli za mwili.
Ni antioxidant yenye nguvu sana, inayosaidia kuzuia kansa, na pia inahusika moja kwa moja katika ufanyaji kazi wa tezi mbalimbali za kutengeneza homoni na kuweka sawa viwango vya homoni katika mwili.
Baadhi ya dalili ambazo zitakusaidia kutambua kuwa una upungufu wa madini ya zinc ni pamoja na
Ø Kupoteza hamu ya kula
Ø Kujiskia vibaya na huna mood mara kwa mara
Ø Kupungua kwa uwezo wa kutambua ladha ama harufu ya kitu
*MADINI YA ZINC HUSAIDIA*
1 Kusawazisha kiwango chasukari katika mwili
2 Kusaidia utengenezwaji wa protini kwenye mwili
3 Kusaidia kusapoti mfumo wa upumuaji
4 Kuongeza ufananyaji kazi wa seli za mwili
5 Kupunguza sumu mwilini
Ushauli ni bure no 0714100697
