REFINED YUNZHI ESSENCE, TIBA YA KUONGEZA KiNGA YA MWILI.

 Bidhaa hii imetengengenezwa na uyoga bila kuwekwa kemikali yoyote ile hivyo ni salama na inafaa kutumika na watu wa rika zote wake kwa waume na watoto.


Refined yunzhi Essence ina -:

Polysaccharide K (PSK) na polysaccharide peptide ambayo inafanya kazi ya  kuzuia ukuaji wa seli usio wa kawaida.


Refined yunzhi essence inasaidia -:

1. Kuongeza kinga ya mwili, inawafaa watu wenye kinga ya chini ya mwili.

2. Inasaidia sana wanawake wenye uvimbe kwenye kizazi.

3. Inasaidia wagonjwa wa kansa wanaotumia tiba ya mionzi ya chemotherapy kwani hupunguza athari za mionzi na dawa za saratani kwa mhusika anayetumia.

4. Huimarisha mwili kujikinga dhidi ya vimelea vya saratani.

5. Kuongeza hamu ya kula 100%

6. Inasaidia kuondoa sumu mwilini

7. Hutatua tatizo la hormonal imbalance kwa wanawake.


DALILI ZA HORMONAL IMBALANCE KWA WANAWAKE-:

1. Kukosa hedhi kabisa

2. Kutoka hedhi zaidi ya siku 7 au chini ya siku 3.

3. Kupata hedhi mara mbili kwa mwezi.

4. Kutoka hedhi nyingi sana au mabonge ya damu.

5.kuumia chini ya kitovu au kupata hedhi inayouma sana.

5. Kukua kwa tumbo la chini.

  Kama una matatizo tajwa hapo juu usisite kunitafuta kwa simu namba 0714100697


kwa matibabu na ushauri.


N:B Yunzhi Refined Essence inaweza kutumiwa na mtu asiyekua na tatizo kama kinga. @ Dar es Salaam, Tanzania