*FAHAMU KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE.*
👉🏽 Vidonda vya tumbo (Ulcers) ni ugonjwa unaowasumbua watu wengi kutokana na mfumo wa Maisha, ulaji mbaya na Mazingira tunayoishi Kwa ujumla.
*CHANZO CHA VIDONDA VYA TUMBO*
1️⃣ BAKTERIA
Chanzo kikubwa cha ugonjwa wa vidonda vya tumbo ni Bakteria waitwao Helicobacter pylori (H. pylori). Bakteria hawa huenezwa kwa kula chakula na kunywa maji. Katika mwili wa binadamu Bakteria hawa wapo katika mate na katika ute unaotanda juu ya kuta za Sehemu ya Utumbo Mwembamba (Duodenum) na mfuko wa tumbo.
2️⃣ MADAWA:
Matumizi makubwa ya dawa za kupunguza maumivu ya kichwa na maumivu mengine madogo madogo. Dawa hizo ni kama aspirin, diclofenac, naproxen, ibuprofen n.k. Dawa hizi hupunguza uwezo wa tumbo wa kutengeneza utando wa ute wa kulikinga tumbo hivyo kulifanya liweze kuliwa kirahisi zaidi na tindikali.
4️⃣ Kutokula chakula kwa wakati au kula vyakula vyenye viungo vingi na pilipili nyingi.
5️⃣ Msongo mkubwa wa Mawazo N.K
*DALILI YA VIDONDA VYA TUMBO*
▶️ Tumbo kujaa gesi.
▶️ Tumbo kuwaka moto.
▶️ Kukosa choo au kupata choo kwa shida.
▶️ Kutapika nyongo
▶️ Kutapika damu au kuharisha.
▶️ Sehemu za mwili kupata ganzi.
▶️ Kukosa hamu ya kula.
.
MADHARA YA VIDONDA VYA TUMBO
3️⃣ Vidonda vya tumbo vinaweza pia kuenea na kuathiri pia viungo vya jirani kama vile ini au kongosho (pancrease).
5️⃣ SARATANI YA TUMBO
Iwapo vidonda vya tumbo vimesababishwa na H. pylori, kuna uwezekano wa kati ya mara tatu hadi ya sita ya mgonjwa kupata Saratani ya tumbo (stomach cancer).
TIBA YA VIDONDA VYA TUMBO
Kwa matatizo ya vidonda vya tumbo, watu wengi wamekuwa wakihangaika sana kupata matibabu sahihi na badala yake wamekuwa wakitumia dawa za kutuliza maumivu ya vidonda vya tumbo na si kutibu chanzo cha tatizo moja kwa moja.
Tunayo TIBA nzuri sana ya kutibu vidonda vya tumbo hakika utapona kabisa. TIBA hii ina uwezo wa kutibu vidonda vya tumbo hata kama vimekuwa sugu Kwa miaka mingi vitapona tu kwa sababu tunazuia *CHANZO CHA TATIZO na kulimaliza
Ushauri ni bure 0714100697 wasiliana nasi leo
