UFAHAMU UUME
Mboo au mboro (pia: uume) ni kiungo cha uzazi cha kiume ambacho hupitisha shahawa yenye mbegu kutoka mapumbu kupitia kifuko cha akiba kwa kuingizwa katika kuma.
Mboo pia hutumika kupitisha mkojo.
Muundo wa uume ni misuli aina ya sifongo yenye neva nyingi. Kukiwa na msisimko damu inajaa nafasi zilizomo na kusababisha uume utanuke na kusimama imara na wima.
UREFU WA UUME.
Kisayansi uume mdogo ni ule ukiwa umesimama (kudinda) na kumwingilia mwanamke unakuwa haujazama na kufikia angalau zaidi ya nusu ya urefu wa uke. Urefu wa uke wa kawaida ni nchi 5 hadi 7 saa ingine inaweza fika 8 hadi 9 kwa mwanamke mwenye umri mkubwa na aliyekwisha kuzaa na kama hajazaa na ana umri mdogo basi uke unaweza kuwa na urefu wa kati ya nchi 3 hadi 4 tu.
Sasa ili mwanaume uweze kusikia unafanya kitu wakati upo kwenye tendo la ndoa basi uume wako uwe na angalau nchi 4 hadi 6. Na kwa wastani katika Afrika wanaume wengi wana uume wenye nchi 5 hadi 6, wachina kwa mfano wako chini ya nchi 5 kwa hiyo wanaendana na wake zao. Wafrica wachache wana uume wa nchi 7 hadi 8 na wachache zaidi wana nchi 9-10. Wanaume wenye uume wenye nchi ya nchi 4 ni wachache sana katika Africa.
.............🙏................... Ushauri ni bure no 0714100697
