𝐕𝐘𝐀𝐍𝐙𝐎 𝐕𝐘𝐀 𝐔𝐏𝐔𝐍𝐆𝐔𝐅𝐔 𝐖𝐀 𝐍𝐆𝐔𝐕𝐔 𝐙𝐀 𝐊𝐈𝐔𝐌𝐄.
Fahamu Sababu za tatizo hili;
🌿 Ujichuaji/Punyeto (𝗠𝗮𝘀𝘁𝘂𝗿𝗯𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻).
🌿 Kitambi au Uzito kupita kiasi na unene uliozidi (Mafuta mengi mwilini).
🌿 Ukosefu wa mazoezi.
🌿 Ulaji Holela Holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi.
🌿 Uvutaji wa Sigara, unywaji wa Pombe au utumiaji wa kemikali.
🌿 Kuwa na Msongo wa mawazo.
🌿 Kuwa na tatizo kwenye kibofu cha mkojo.
🌿 Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali kali za kutibu maumivu.
🌿Magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, kisukari, presha, magonjwa ya moyo, Bawasiri, Tezi dume n.k hupelekea tatizo hili.
🌿 Umri hasa kwa wazee.
🌿Utumiaji wa Madawa ya kuboost Nguvu za kiume.
Ushauri in bure 0714100697
