*FAHAMU TIBA SAHIHI YA KUTOKWA NA UCHAFU  USIO WA KAWAIDA,DALILI NA MADHARA YA KUTOKWA NA UCHAFU KWA MWANAMKE*

 


   ▪️Kitu cho chote kitakachoharibu uwiano wa bakteria wa kawaida waishio katika uke kinaweza kuleta mabadiliko katika rangi, harufu au muundo wa uchafu utakaotoka katika uke.

✔️Hapa chini naonyesha aina ya uchafu unaotoka, maana yake au chazo chake na dalili ambazo zitatokea kwenye mwili wa mwanamke husika:

◾Uchafu Wenye Damu Au Wa Rangi Ya Kahawia

▪️Hii ni dalili ya mzungumko wa mwezi wa mwanamke uliovurugika na mara chache ni dalili ya kansa ya Cervix au aina nyingine ya kansa iitwayo endometrial cancer. Mwanamke mwenye tatizo hili atatoa damu nyingi ukeni na kuumwa nyonga.

1. Uchafu Wenye Rangi Ya Mawingu Au Njano

Hii ni dalili ya ugonjwa wa kisonono (Gonorrhea). Mwanamke atatokwa na damu katikati ya siku zake, atatokwa na mkojo bila kukusudia na kupata maumivu ya nyonga.


2. Uchafu Wa Njano Au Kijani Wenye Harufu Mbaya,

 Endapo uchafu utatoka kama mapovu, wenye rangi ya kijani au njano ukiambatana na harufu mbaya , hii ni dalili ya Trichomoniasis, maambukizi (parasitic) yanayotokana na ngono zembe. Dalili nyigine ni maumivu na kuwashwa wakati wa kutoa haja ndogo.


3. Uchafu Mweupe Mzito Kama Jibini

Hii ni dalili ya maambukizi ya aina ya fungus (Yeast infection) na dalili nyingine atakazozisikia mwanamke huyu ni kuvimba na maumivu kwenye sehemu za nje za siri (vulva), kuwashwa na maumivu wakati wa kufanya tendo la ndoa.


4. Uchafu Mweupe, Wa Njano Au Wa Kijivu Wenye Harufu Ya Samaki

Uchafu wa aina hii ni dalili za maabukizi ya Bacterial Vaginosis. Mwanamke mwenye tatizo hili atasikia miwasho au maumivu, kuvimba kwa uke au sehemu ya nje ya uke (vulva)


*◾MATIBABU SAHIHI*

*Ikiwa Umetumia Tiba mbalimbali na hujaweza kumaliza Tatizo lako wasiliana nasi Kwa namba 0714100697


https://www.facebook.com/share/v/xzaBggoEgvMqiP9q/?mibextid=ksseBe