BAWASILI/MGOLO🍀
☇Bawasili ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza kama uvimbe au kinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.
☇kwa kiingereza hujulikana kama piles.
☇na kitaalam hujulikana kama haemorrhoids/piles
🍀AINA ZA BAWASILI🍀
👉1. BAWASILI YA NJE
Aina hii ya bawasili hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na kuambatana na maumivu makali, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (veins)hupasuka na dam kuganda hivyo kusababisha na kusababisha aina hii ya bawasili ambapo kitaalam inafahamika kama Thrombosed haemorrhoid.
👉2.BAWASILI YA NDANI
Aina hii ya bawasili kinyama au uvimbe huota ndani ya njia ya haja kubwa na inaweza kutoka nje na kurud wakati wa kujisaidia au ikashindwa kurudi mpaka jrudishwe kwa mkono
🍁BAWASILI HUSABABISHWA NA NINI?
👉Kufunga choo au kukosa choo kwa muda mrefu
👉Ujauzito-wakati wa ujauzito watu wengine wanaweza kupatwa na bawasili kwasababu ya msukumo wa mtoto karibia na sehem ya haja kubwa
👉kushiriki penzi kinyume na maumbile
👉Uzee- kadri miaka inavyosogea ndivyo inavyokuwa rahisi kwako kupatwa ugonjwa huu kwa baadhi ya watu.
👉Sababu za kurithi- baadhi ya watu wanaweza kurithi udhaufu wa ukuta huo wa njia ya haja kubwa ingawa ni kwa asilimia chache.
👉kuharisha sana kwa muda mrefu
👉kutumia vyoo vya kukaa
👉kunyanyua vyuma vizito
👉mfadhaiko stress
👉uzito na unene kupita kiasi
🍀DALILI ZA BAWASILI 🍀
👉maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
👉Damu kutoka wakati wa kujisaidia
👉kupata muwasho sehem ya haja kubwa
👉uvimbe au kinyama kuota sehem ya haja kubwa
👉hajakubwa yaweza kujitokea mda wowote
👉choo kuwa kigumu au muda mwingine kukosa choo kwa siku hata tatu
👉maumivu makali ya kiuno na mgongo
👉tumbo kujaa gesi mara kwa mara
👉kutokushiba vizuri au kupata njaa baada ya muda mfupi kumaliza kula.
👉kukosa usingizi
👉watu wengine macho kuwa mekundu
SULUHISHO
Hapa tunatibu chanzo na Tatizo Bila upasuaji Hivyo mtu anaepuka kuwa ktk hatari ya kujiludia......
Mawasiliano Whatsapp/call0714100697
