FAHAMU KUUSU UGONJWA WA KISUKARI.


Kisukari ni ugonjwa unaotokana na mtu kuwa na sukari nyingi kupita kiasi kwenye damu. Ugonjwa huo huvuruga utaratibu wa kuingiza sukari ndani ya chembe kutoka kwenye damu kwa kuwa chembe huhitaji sukari ili kupata nishati.


Ugonjwa wa Kisukari hutokea pale ambapo tezi ya kongosho inaposhindwa kutengeneza kichocheo (Homoni) aina ya insulin au pale mwili unaposhindwa kutumia vizuri kichocheo hicho na kusababisha kuongezeka kwa sukari (Hyperglycemia) au kushuka kwa kiwango cha sukari (Hypoglycemia). Ugonjwa wa kisukari unaweza kusababishwa na kuwa na kiwango kidogo cha insulin mwilini, mwili kutosikia kichocheo hicho au yote mawili.


Watu wenye kisukari huwa na kiwango kikubwa cha sukari kwenye damu kuliko inavyotakiwa kwa sababu miili yao haiwezi kupeleka sukari kwenye seli za mafuta, ini na misuli ili ihifadhiwe kwa ajili ya kuzalisha nguvu. Hii ni kutokana na moja ya sababu zifuatazo, huenda kongosho zao haziwezi kutengeneza insulini ya kutosha au seli za mwili wao haziathiriwi na insini kama inavyotakiwa au sababu zote hizo mbili.


DALILI ZA UGONJWA WA KISUKARI


~ Kunywa maji mengi kuliko kawaida na kusikia kiu kila wakati.

~ Kwenda haja ndogo mara kwa mara. Watoto kukojoa kitandani.

~ Kuwa dhaifu, kukosa nguvu na kujisikia mchovu kila wakati.

~ Kupungua uzito au kukonda licha ya kula vizuri.

~ Kusikia njaa kila wakati na kula sana.

~ Wanawake kuwashwa ukeni.

~ Kutoona vizuri.

~ Kupungua nguvu za kiume au hamu ya kujamiiana kwa wanawake.

~ Ganzi, kuchomwachomwa au kutohisi unapoguswa sehemu za miguu, viganja na vidole.

~ Miguu kuoza na hata kupata gangrini.

~ Kukaukwa na ngozi na pia kupata aina ya ngazi katika miguu.

~ Vidonda au majeraha sehemu yoyote ya mwili kutopona haraka.

~ Majipu mwilini.


NOTE

Watu wenye dalili hizi wanashauriwa kupima sukari ili kubaini kama wana kisukari.


TIBA

Tiba tulionayo hulenga uwezeshaji wa utendaji kazi wa kongosho na Seli zake ktk kuzalisha INSULIN ,Ili kudhibiti kiwango Cha SUKARI ktk mwili ...


KWA HUDUMA ZAIDI.

Njoo Inbox...............


Ushauri in bure no 0714100697