UNASUMBULIWA NA GANZI KATIKA SEHEMU MBALIMBALI,

 

Katika mwili wa binadamu kuna matatizo ya kiafya ambayo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi sehemu mbali mbali za mwili  kuwaka moto na hata kufa ganzi kwa viungo vya pembezoni mwa mwili yaani miguu na mikono na hata Kichwa pia,


•Tatizo hili kitaalamu hujulikana kwa jina la Peripheral Neuropathy,

Matatizo haya ya kiafya (miguu/mikono kuhisi ganzi, baridi au maumivu) husababishwa na kuumia au kudhoofika kwa neva za pembezoni mwa mwili (miguuni au mikononi) na hivyo kupotea kwa uwezo wa kufanya kazi wa neva katika sehemu husika, miguuni au mikono.


•Dalili zinazoambatana na tatizo hili 

1.Mtu kuhisi ganzi

2. kushindwa kushika au kunyanyua kitu, kuchoka kwa misuli

3.maumivu au kuwaka moto maeneo ya miguuni/mikononi,


•Baadhi ya visababishi vya neva hizi za pembezoni kudhoofika na kushindwa kufanya kazi vizuri ni

1.Kupungua kwa virutubisho mwilini,hasa mkusanyiko wa vitamini B, (Vitamin B Complex).

2.Matumizi ya dawa, mfano dawa za kutuliza maumivu

3.Uzito mkubwa wa mwili,

4.Ugonjwa wa kisukari,

5.Shinikizo la damu na mengineyo.


•Mtu wenye matatizo au dalili za gazi anashauriwa kufanya mazoezi,kula vyakula vyenye virutubisho na kula mboga za majani na matunda kwa wingi, 





kwa Kupata tibalishe Na maelezo zaidi

 call/whatsapp

 0714100697