𝐓𝐀𝐓𝐈𝐙𝐎 𝐋𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐈𝐊𝐈𝐎 𝐊𝐔𝐔𝐌𝐀 , 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐆𝐀 𝐊𝐄𝐋𝐄𝐋𝐄 𝐍𝐀 𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐔𝐒𝐈𝐊𝐈𝐀 𝐕𝐈𝐙𝐔𝐑𝐈
Sikio (Ear) limegawika katika sehemu tatu kuu. Sehemu ya nje ya sikio, sehemu ya kati ya sikio na sehemu ya ndani ya sikio.
Kuna aina mbili ya matatizo ya masikio nayo ni:
i.𝐎𝐭𝐢𝐭𝐢𝐬 𝐦𝐞𝐝𝐢𝐚.
ambayo hutokea katika sehemu ya kati ya sikio na mara nyingi huwatokea watoto wachanga na watoto wadogo.
1•𝐎𝐭𝐢𝐭𝐢𝐬 𝐞𝐱𝐭𝐞𝐫𝐧𝐚.
ambayo hutokea katika sehemu ya ndani ya sikio na mara nyingi huwatokea waogeleaji, na hutokea zaidi wakati wa baridi.
2•𝐈𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐳𝐚 𝐌𝐚𝐭𝐚𝐭𝐢𝐳𝐨 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐨 𝐤𝐰𝐚 𝐎𝐭𝐢𝐭𝐢𝐬 𝐦𝐞𝐝𝐢𝐚
i. Kuumwa na kuchomwa kwa sikio
ii. Kutokwa na uchafu ndani ya sikio
iii. Kutosikia kwa ghafla
iv. Homa
𝐒𝐚𝐛𝐚𝐛𝐮 𝐳𝐚 𝐎𝐭𝐢𝐭𝐢𝐬 𝐦𝐞𝐝𝐢𝐚.
Sababu kubwa ya maradhi hayo ni kuziba kwa bomba la sikio(Eustachiantube), kutokana na baridi, allergy pamoja na kuingia takataka.
Hii inababisha maji maji ya sikio kujaa maji hayo nayo husababisha uvimbaji wa (ear drum) sikio.
𝐒𝐚𝐛𝐚𝐛𝐮 𝐳𝐚 𝐎𝐭𝐢𝐭𝐢𝐬 𝐞𝐱𝐭𝐞𝐫𝐧𝐚.
Hii husababishwa na baketeria au fungi, maji maji yanayoingia ndani ya sikio ndio sababu kuu ya kufanya bakteria na fungi kuzaana pia Skin allegies husababisha maradhi hayo.
Na sababu nyengine ni ulaji mbovu wa chakula pamoja na upungufu wa usafi wa mwili.
𝐊𝐔𝐓𝐎𝐊𝐖𝐀 𝐍𝐀 𝐔𝐒𝐀𝐇𝐀 𝐒𝐈𝐊𝐈𝐎𝐍𝐈.
Ikiwa utaweka kitu kama ujiti wa kiberiti au mfano wake sikioni, unaweza kusababisha jeraha kwenye sikio na damu kuanza kutoka.
Baadae usaha unaweza kutungwa sehemu ya jeraha na kutoka kidogokidogo.
Lakini pia mashambulizi ya bacteria sikioni yanaweza kusababisha kutokwa na usaha.
TIBA ZA MAUMIVU YA MASIKIO
ni tiba asili inayo tibu maradhi yoote ya masikio,ni tiba inayotokana na virutubisho lishe asili kupitia mimea na matunda.
•𝐒𝐈𝐅𝐀 𝐙𝐀 𝐁𝐈𝐃𝐇𝐀𝐀
•𝐇𝐔𝐒𝐀𝐈𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐎𝐍𝐃𝐎𝐀 𝐊𝐀𝐁𝐈𝐒𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐍𝐆𝐀𝐌𝐎𝐓𝐎 𝐇𝐈𝐙𝐈𝐈
•Masikio kuuma
•Masikio kupiga kelele
•Hukausha usaha masikioni kwa mtu aliye na jeraha sikioni
•Huongeza msukumo wa damu kwenye ubongo
•Huzuia kuchoka sana
•Huzuia maumivu ya kichwa ya mara kwa mara
•Huondoa matatizo ya kupoteza kumbu kumbu kwa wazee(AIZHEIMERS DISEASE)
•Huifanya mishipa ya damu ipate utulivu
•Huzuia magonjwa ya moyo
•Huzuia kufa kwa seli kwenye ubongo na kufa kwa mishipa midogo midogo ya damu
•Hufaa kwa wanao choka bila sababu
•Hufaa sana kwa watu wanao tumia compyuta kwa muda mrefu
•Hufaa sana kwa wenye kutumia akili nyingi katika kufikiri.
𝐅𝐮𝐥𝐥 𝐝𝐨𝐳
Tupo dar es Salam msasani Kama upo dar unaweza kufika ofisini msasani au ukaletewa tiba ulipo delivery ukiwa njee ya dar es Salam Unatumiwa
𝐏𝐢𝐠𝐚 𝐚𝐮 𝐰𝐡𝐚𝐭𝐬𝐀𝐩𝐩
𝟎𝟕𝟏4100697
