KAMA UNA DALILI ZIFUATAZO UJUE UNA TATIZO LA KUZIDI KWA ACID (TINDIKALI YA TUMBO).


Whatsapp 0714100697



1. Kuwaka moto kifuani (Kiungulia) hasa wakati wa

usiku au unapolala, hali hii hutokea pia mara baada ya kula.

 

2. Mapigo ya moyo kwenda mbio/kushtuka kwa

moyo baadhi ya nyakati. Hali hii hupelekea baadhi ya

watu kuhisi wana matatizo ya moyo


3. Kuhisi kama kichwa kimevurugika na kuhisi

kuchanganyikiwa.


4. Kusahau mara kwa mara hata vitu vya kawaida

kabisa/Kupungua kwa kumbukumbu


5. Kujisaidia choo kigumu kama cha mbuzi.


6. Kuwa na wasiwasi na hofu kubwa na hufikia

hatua hata ukipigiwa simu hasa nyakati za usiku


7. Moyo huanza kwenda mbio na kujawa na wasiwasi

mkubwa.


8. Kukosa usingizi ama kushtuka mara kwa mara

kutoka usingizini.


9. Kupumua kwa tabu baadhi ya nyakati


10. Kupata maumivu ya kichwa ya mara kwa mara

kwa baadhi ya watu wenye tatizo hili.


11. Kupata kikokozi kisichoisha


12. Kuvimba Tonsilitis/mafidofido mara kwa

mara.


13. Mdomo kuwa mchachu na huwez kupelekea

kutoa harufu mbaya ya kinywa


14. Kuhisi kama kuna kitu kimekwama kooni lakini

kila unavyojaribu kukitoa hakitoki


15. Kupata fangasi mdomoni (mdomo huanza

kutoa ute mweupe ambao una harufu mbaya)


16. Huweza kupelekea ukaanza kuota ndoto za

kutisha pindi ulalapo na kuhisi umerogwa


17. Kupata maumivu ya mgongo hasa sehemu ya

mabega, maumivu makali kana kwamba umenyanyua vitu vizito.