*MADHARA YA KUTOONDOA SUMU KATIKA MWILI*

 

*Asilimia kubwa ya maradhi yanayowasumbua watu hivi leo yanatokana na sumu zilizopo katika miili yao. Inawezekana umewahi kusikia mambo mengi kuhusu sumu kwenye mwili, lakini hufahamu chazo halisi cha sumu hizi.*

 

*VYANZO VYA SUMU*

Miili yetu imekuwa ikipokea sumu na uchafu kila siku kutokana ;

1. Matumizi ya dawa mara kwa mara

2. Matumizi ya pombe (Alcohol) na sigara

3. Mazingira na athari kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia

4. Ukosekanaji wa lishe sahihi na diet nzuri

5.Matumizi ya madawa makali

6.Uzito mkubwa

7.Mitindo ya maisha

8.Njia za uzazi wa mpango za kisasa

 

*DALILI ZA KUWA NA SUMU NYINGI MWILINI*

1.Matatizo ya ngozi kwa mfano chunusi,vipele

2.kuwa na uzito wa kupindukia

3.kutokupata choo au choo kigumu

4.kukosa usingizi Na kujihis kuchokachoka

5.Kichwa kuuma

6.Kupata miwasho

7.Maumivu ya viungo Kama vile mgongo,goti

8.kuwa na hasira mara kwa mara.

9.Tumbo kujaa gesi

 

*MADHARA YAKE*

1.kuondoa  hamu ya tendo la ndoa

2.maumbikizi ya figo

3.Maumbikizi ya Ini

4.Hupelekea matatizo ya kutopata watoto (ugumba)

5.hupelekea uvimbe kwa ndani ya kizazi kwa mwanamke

6.Hupelekea matatizo ya  pressure

7.Mvurugiko wa homoni

 

*SULUHISHO LA KUDUMU*

*Kwa watu wenye changamoto hizo tuna Virutubishi lishe visivyo na Kemikali Sumu vizuri sana ambavyo vitakusaidia kuondoa sumu mwilini mwako na kuupa Mwili nguvu ili kupambana na maradhi*

*FAIDA ZA KUONDOA SUMU* 

• Huondoa sumu na uchafu katika Mwili .


•Huongeza Kinga ya Mwili kwa asilimia kubwa sana


. Huondoa machofu na kuchoka choka.

. Huongeza kinga ya mwili.

.Hupunguza msongo wa mawazo.

. Hufanya mwili kuwa na nguvu.

. Huongeza hamu ya tendo la ndoa.

. Husafisha mfumo wa Uzazi Kwa Mwanaume na mwanamke Kwa kuondoa matatizo yote. 


Bidhaa hizi ni kwa mtu yeyote Ili Kuweka mwili wako salama na hata kama una changamoto yoyote Ile ukakaa vema Kwa usalama zaidi. 


*Bidhaa popote inakufikia uaminifu na Uadilifu ni Msingi wetu.👏🏼👏🏼👏🏼*

*Wasiliana nasi Kwa namba 0714100697