Huyo mtu anasumbuliwa na fangasi ,
Chanzo kikubwa cha kuwasha kwa korodani ni maambukizi ya fangasi, usafi duni pamoja na kutokwa na jasho jingi. Katika nyakati fulani, miwasho hiyo inaweza kusababishwa pia na maambukizi ya magonjwa ya zinaa hasa herpes, kisonono na klamidia.
Miwasho hii inaweza kwenda mbali zaidi kwa kusababisha ngozi ya juu iwe nyeupe, Kama hvyo ilivyo kwa huyo jamaa, hapo lakin pia inayotoa unga pind akijkuna. Hii ni dalili ya wazi kuwa changamoto husika imefikia hatua kubwa na inahitaji uchunguzi na matibabu ya haraka.
Mwanamme anashauriwa kuvaa nguo za ndani (boxer) zisizo bana sana, kuoga mara kwa mara, kukausha vizuri maji maji baada ya kuoga au jasho kuzunguka korodani pamoja na mstari unaoelekea sehemu ya haja kubwa. Pia, kubadili nguo za ndani haraka baada ya kufanya mazoezi ni mojawapo ya vitu muhimu vya kuzingatia.
Tiba za tatizo hili zipo, baada ya uchunguzi wa kina mgonjwa atapatiwa dawa kulingana na aina ya vimelea vinavyo msumbua. Ikiwa chanzo chake ni mzio (allergy), daktari atashauri pia dawa nzuri ya kutibu tatizo hili.
Usafi wa sehemu za siri, kujipakaa mafuta laini ya mgando, lotion, mafuta ya nazi au powder ni mojawapo ya mambo yanayoweza kufanywa kama sehemu ya huduma ya kwanza . Kuhimu, kuja na vpmo kutoka hospital ili tujua fangasi yako ipo stage gan
. 🤝𝐮𝐬𝐡𝐚𝐮𝐥𝐢 𝐧𝐢 𝐛𝐮𝐫𝐞 𝐭𝐮𝐩𝐢𝐠𝐢𝐞 𝐥𝐞𝐨 𝐭𝐮𝐤𝐮𝐡𝐮𝐝𝐮𝐦𝐢𝐞 0714100697
