TATIZO LA MASIKIO KUUMA,NA TIBA YAKE.

Sikio (Ear) limegawika katika sehemu tatu kuu. Sehemu ya nje ya sikio, sehemu ya kati ya sikio na sehemu ya ndani ya sikio.


Kuna aina mbili ya matatizo ya masikio nayo ni:

i. Otitis media : 

ambayo hutokea katika sehemu ya kati ya sikio na mara nyingi huwatokea watoto wachanga na watoto wadogo.


ii. Otitis externa:

ambayo hutokea katika sehemu ya ndani ya sikio na mara nyingi huwatokea waogeleaji, na hutokea zaidi wakati wa baridi.


Ishara za Matatizo ya masikio kwa Otitis media:

i. Kuumwa na kuchomwa kwa sikio

ii. Kutokwa na uchafu ndani ya sikio

iii. Kutosikia kwa ghafla

iv. Homa


Sababu za Otitis media:

Sababu kubwa ya maradhi hayo ni kuziba kwa bomba la sikio(Eustachiantube), kutokana na baridi, allergy pamoja na kuingia takataka. 

Hii inababisha maji maji ya sikio kujaa maji hayo nayo husababisha uvimbaji wa (ear drum) sikio.


Sababu za Otitis externa:

Hii husababishwa na baketeria au fungi, maji maji yanayoingia ndani ya sikio ndio sababu kuu ya kufanya bakteria na fungi kuzaana pia Skin allegies husababisha maradhi hayo.

Na sababu nyengine ni ulaji mbovu wa chakula pamoja na upungufu wa usafi wa mwili.


KUTOKWA NA USAHA SIKIONI:

Ikiwa utaweka kitu kama ujiti wa kiberiti au mfano wake sikioni, unaweza kusababisha jeraha kwenye sikio na damu kuanza kutoka. 


Baadae usaha unaweza kutungwa sehemu ya jeraha na kutoka kidogokidogo. 

Lakini pia mashambulizi ya bacteria sikioni yanaweza kusababisha kutokwa na usaha.


TIBA ZA MAUMIVU YA MASIKIO

Cerebrain ni tiba asili inayo tibu maradhi yoote ya masikio,ni tiba inayotokana na virutubisho lishe asili  kupitia mimea na matunda.


SIFA ZA CEREBRAIN

*Masikio kuuma

*Masikio kupiga kelele 

*Hukausha usaha masikioni kwa mtu aliye na jeraha sikioni 

*Huongeza msukumo wa damu kwenye ubongo 

*Huzuia kuchoka sana 

*Huzuia maumivu ya kichwa ya mara kwa mara 

*Huondoa matatizo ya kupoteza kumbu kumbu kwa wazee(AIZHEIMERS DISEASE)

*Huifanya mishipa ya damu ipate utulivu 

*Huzuia magonjwa ya moyo 



 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ