πWALE WA KUBADILI HOVYO VIPODOZI π
Kuna watu wanajaribu vitu ninavyofundisha siku 3 tu anataka aone matokeo la sivyo anarukia kingineπ na kuna wale wanatumia vipodozi wiki tu, yaani yeye uvumilivu wake mwisho siku saba yaani wiki mojaπ€£π€£π€£ yani hapo hata kangozi hakajajiandaa kupokea kipodozi vizuri. Anaacha ananunua kingine, hiko kingine tena anakaa nacho wiki anarukia kingine khaa!π
https://Drsolutionmedicalandhealthafrica.blogspot.com
INATAKIWA MJUEπ
Kila mmoja ana aina yake ya ngozi, Kila mmoja analifestyle yake, kila mmoja yuko na vinasaba tofauti, Kila mmoja ana namna yake ya kumanage stress, kila mmoja anacommitment yake katika kutunza ngozi yake, sasa usije ukawa humu fb/insta unavutika na muonekano wa mtu kwa picha ukaanza kujiona hufai.
πUmeshauriwa bidhaa kutoka kwa unaemuamini umeanza kutumia ila unajiuliza mbona sifanani kama fulaniπ€£ huyo fulani unaemsema hujui anafanya nini cha ziada. Usije kufa kwa presha bure na kuona vipodozi husika havifanyi kazi, kumbe mwenye shida ni wewe inawezekana una ngozi ngumu
ππΈπ½πΆπ°ππΈπ° π·π°ππ°
πAcha kulala usiku ukiwa umepaka make up.
πKunywa maji ya kutosha kila siku
πTumia bidhaa ambazo ni salama kwa ngozi yako... Pendelea bidhaa asilia.
πTππππ kasabuni kazuri kanachokukubali ππππππ ππππ πππππππππ πππ! uwe unaosha uso wako mara 2 mpaka 3 kila siku.
πBadilisha foronya kila inapochafuka.
πUkipata bidhaa zinazokufaa tulia nazo acha kiranga.
πJiepushe na stress
πUsijikamue chunusi kwani husababisha madoa sugu.
πTumia sun protection utembeapo juani hasa kwa wale wenye ngozi nyeupe
πHalafu wengine mnatumia vile vipodozi ambavyo hautakiwi kuacha yani ukiacha tu unaharibika (Hasa wale mnaopaka tube)π₯ Sasa hapo ukirukia kingine unaona hakina matokeo mazuri au kimekuharibu kumbe ni kilichopita ndo kimekuharibu baada ya kuacha kutumia. (UKIACHA KIPODOZI KAA ANGALAU WIKI HATA 2 NDO UTUMIE KIPYA)
πWALE WENYE NGOZI ZA MAFUTA PIAπ
Inatakiwa mjue mafuta hayatoi mafuta! Katika utaratibu wa kutunza ngozi yako, hatua ya kupaka mafuta ni hatua ya tatu. Kabla ya hatua hii kuna zingine 2 za kwanza ambapo ubora wa matokeo ya hatua ya tatu inategemea umefanya vizuri kiasi gani Katika hatua mbili za kwanza. Sasa wewe kila siku ni kubadili mafuta tu na mtu tunaelekeza humu hatua za kufanya ila mtu anaona uvivu yeye ni bora apake zake mafuta tu alale wakati ngozi ina deadskin kibaoπ₯
πPENDA NGOZI YAKO ACHA KUBADILI VIPODOZI BILA MPANGILIO MWISHOπ
πππππ ππππππ πππ’π πππ£πππ ππππππ ππππ πππππ’π ππππππππ ππππππππ ππππ£π π’πππ
πΈπππππ ππππ£π π’πππ ,πππππ£π ππππ£π π’πππ ,πππππ ππππ£π π’πππ ,ππππππππ πππ£πππ πππππππππππ ππππππππ£π π ,πππ π ππππππ ππππ πππππ π£ππππ πππππππ ππ ππππ ππ 0714100697
