𝗙𝗔𝗛𝗔𝗠𝗨 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗨𝗚𝗢𝗡𝗝𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗣𝗨𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 ( 𝗘𝗖𝗭𝗘𝗠𝗔 )
𝗣𝗨𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜;ni Ugonjwa wa NGOZI unaosababisha kuvimba kwa NGOZI( Inflammation ).
Hii huambatana na NGOZI Kuwasha, Kuwa Nyekundu, Vipele na Mabaka.
𝗡𝗜𝗡𝗜 𝗞𝗜𝗡𝗔𝗦𝗔𝗕𝗔𝗕𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗣𝗨𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜?
PUMU ya NGOZI husababishwa na Mshituko wa Kinga ya Mwili( hypersensitivity ) na Ngozi ya Mwili. Kuna Uhusiano wa PUMU ya NGOZI na Magonjwa kama Asthma, Mafua, Msongo wa Mawazo pamoja Kurithi ( Vinasaba )
𝗗𝗔𝗟𝗜𝗟𝗜 𝗭𝗔 𝗣𝗨𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜;
Dalili Kuu Tatu ni:-
1. Ngozi kuwa Nyekundu
2. Ngozi Kuvimba na Kupasuka
3. Ngozi Kukauka pamoja na Muwasho.
Mara nyingi UGONJWA huu huambatana na Magonjwa ya Njia ya hewa kama Asthma( Atopic dermatitis ) au baada ya kukutana na kitu kinachosababisha Mshituko wa Kinga ya Mwili na Ngozi. Mfano Kipodozi, Kemikali nakadhalika.
𝗣𝗨𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗧𝗢𝗧𝗢;
Asilimia 8 Mpaka Asilimia 18 ya WATOTO wote huathiriwa na Ugonjwa huu. Hii huambatana na mabadiliko ya Hewa na Magonjwa ya Mfumo wa Hewa mfano Mafua na Asthma .
Mara Nyingi Ugonjwa huu hupotea Ukubwani baada ya Matibabu.
𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗣𝗨𝗠𝗨 𝗬𝗔 𝗡𝗚𝗢𝗭𝗜;
Kutokana na Utendaji Mzuri wa Bidhaa za Edmark katika Kukuongezea Kinga ya Mwili, Tunaweza Kukusaidia Uondokane na Chandamoto hii.
Ivyo Basi nikushauri anza sasa kutumia Bidhaa za Edmark Utapata Matokeo Mazuri kwa Haraka sana na kuacha Ngozi yako ikiwa Nyororo na ya Kuvutia.
𝗞𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝘁𝗶𝗯𝗮𝗹𝗶𝘀𝗵𝗲 𝗻𝗮 𝗺𝗮𝗲𝗹𝗲𝘇𝗼 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗔𝗡𝗔 𝗻𝗮𝘀𝗶 𝐮𝐥𝐢𝐩𝐨 𝐭𝐮𝐩𝐨 𝐮𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢𝐟𝐮 𝐚𝐬𝐢𝐥𝐢𝐦𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐚 𝐧𝐝𝐨 𝐦𝐬𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐰𝐞𝐭𝐮
𝗣𝗶𝗴𝗮 𝗮𝘂 𝘄𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽
0714100697
