UGUMBA KWA MWANAMKE
Ugumba ni hali ambayo mwanamme na mwanamke wamejamiiana kwa kipindi cha mwaka mmoja bila kinga na bado mwanamke hakuweza kupata ujauzito. Hali hii inachangiwa na jinsia zote na si mwanamke peke yake kama ilivyozooleka kuamini hapo zamani. Ilibainishwa kuwa theluthi moja ya nyumba zenye tatizo hili huwa imeathirika kutokana na mapungufu ya mwanamme, theluthi nyingine kutokana na mwanamke na inayobakia inaathiriwa na matatizo au ya wote wawili au yale ambayo hayaeleweki.
Sababu Za Mwanamke Kukosa Kizazi
Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa na katika hatua zote. Hatua katika utengenezaji wa mimba ni kama zifuatazo:
1. Moja kati ya ovari mbili za mwanamke kuachai yai lililokomaa
2. Yai hii kusafirishwa na mrija wa uzazi (fallopian tube)
3. Mbegu za mwanamme kusafiri hadi kwenye cervix, kupitia tumbo la uzazi (uterus) hadi kwenye mrija wa uzazi, kulifikia yai na kulipevusha.
4. Yai lililopevushwa kusafiri kupitia mrija wa uzazi hadi kwenye tumbo la uzazi (uterus).
5. Yai kunata kwenye ukuta wa uterus na kukua
Ugumba kwa mwanamke unaweza kutokana na dosari katika hatua yo yote katika hizo tulizozitaja na mara niyingine kutokana na dosari katika hatua zaidi ya moja.
Pamoja na kuwa kuna sababu nyingi za mwanamke kutopata mimba, lakini sababu kuu tatu ndizo zinazoh𝐮𝐬𝐢𝐤𝐚
Kwa kupata tibalishe na maelezo zaidi piga au wha𝐭𝐬𝐚𝐩 0714100697
