🤷‍♂️UNADHANI NINI AMBACHO HUWA KINA SABABISHA FANGAS KWA JINSIA ZOTE MBILI KUWA MAKINI HAPA UTANIELEWA 


📌Fangasi sehemu za siri ni tatizo la kawaida ambalo linaweza kuathiri watu wa jinsia zote. 


📌Fangasi hawa wanaojulikana kama Candida albicans wanaweza kuwa na athari mbaya katika sehemu za siri za mwili, kama vile uke kwa wanawake na kwenye sehemu za siri za wanaume. Aina hii ya fangasi inayoitwa Tinea cruris ndiyo inayofahamika zaidi na Watanzania wengi. 


📌Pia hutambulika kama “muwasho wa aibu”.


💁‍♂️Dalili za fangasi sehemu za siri zinaweza kutofautiana, lakini zinaweza kujumuisha:


💁‍♂️Kuvimba na kuwasha kwenye eneo la siri.


💁‍♂️Kutoa uchafu mweupe ukeni.


💁‍♂️Maumivu wakati wa kukojoa au wakati wa tendo la ngono.


💁‍♂️Kuwashwa na kuchoma kwenye eneo la siri.


💁‍♂️Kuonekana kwa mipasuko au ngozi kavu sehemu za siri.


🤷‍♂️Madhara ya fangasi sehemu za siri yanaweza kuwa kama ifuatavyo:


💁‍♂️Kushindwa kubeba mimba: 


📌Hasa kwa fangasi sugu, inaweza kuwa vigumu kwa mwanamke kubeba mimba.


💁‍♂️Uke mkavu na maumivu


💁‍♂️ wakati wa tendo la ndoa:


📌 Fangasi inaweza kusababisha uke kukosa unyevu na kusababisha maumivu wakati wa kujamiiana.


💁‍♂️Harufu mbaya ukeni:


📌 Maambukizi ya fangasi yanaweza kusababisha harufu mbaya katika eneo la uke.


💁‍♂️Uchafu mwingi na wenye harufu mbaya kutoka ukeni:


📌 Uchafu wa aina hii unaweza kuwa dalili ya maambukizi ya fangasi.


💁‍♂️Michubuko na kuwaka moto sehemu za siri:


📌 Ngozi inayozunguka sehemu za siri inaweza kuwasha, kukakamaa, na kutoa majimaji yenye harufu mbaya.


💁‍♂️Ni muhimu unapo ona dalili yoyote au changamoto yoyote kufanya uwamuzi mapema kwenda kwenye kituo cha afya au kuomba ushauri kwa afya_kwangukwanza. 


🤷‍♂️Unaweza kujuwa tatizo liko wapi na utumie nini ili kuondoa hayo yote.


📌Unaweza kuwasiliana na mimi kwa namba hizi hapa chini kwa matibabu zaidi au ushauri.


🤳+255714100697