UGONJWA WA KUKOJOA DAMU (HAEMATURIA)
Ugonjwa wa kukojoa damu ambapo kwenye mkojo kunakuwa na chembechembe za damu nyekundu (red blood cells), kitaalam huitwa haematuria.
✍🏻Kukojoa damu ni dalili ya kuonesha kuwa mtu huyo anayekojoa damu ana magonjwa katika mfumo wake wa mkojo kama vile magonjwa ya kichocho au magonjwa mengine yanayoshambulia kibofu cha mkojo au kwenye figo, jambo ambalo ni hatari kwa anayeugua.
SABABU ZA UGONJWA HUU
▶U.T.I
▶Magonjwa ya zinaa hasa kwa wanawake
▶Vijidudu kama staphylococcus saprophyticus
▶Mawe kwenye figo (kidney stone)
▶Kuvimba kwa tezi zinazozalisha manii kwa wanaume.
▶Kupata ajali na kuumia sehemu za mfumo wa mkojo (trauma)
▶Kupata magonjwa ya kansa ya kibofu cha mkojo.
▶Mtu kuugua magonjwa ya upungufu wa damu mwilini maarufu kama sickle cell, anemia na magonjwa ya figo kama vile nephotic syndrome
#Asanteni kwa kufuatilia ukurasa wetu wa Afya, share ujumbe huu uwafikie watu wengi.
Imeandaliwa Dr solution
Piga Simu au tuma sms kupitia namba👩⚕️
“JIFUNZE na Chukua Hatua Juu Ya Afya Yako”.
No 0714100697

