*KISONONO,CHANZO CHAKE,DALILI ZAKE NA MATIBABU YAKE. (GONORRHEA)* 


 *KISONONO(GONORRHEA* )

⚫Ni maambukizi ambayo husambazwa kupitia bacteria kwa njia ya kujamiiana,bacteria hao wanauwezo wa kuwaambukiza wanawake na wanaume.


•Kisonono Mara nyingi huathiri Urethra, sehemu ya hajakubwa(rectum) na koo (throat).Kwa wanawake,Kisonono huweza kuathiri mlango wa kizazi (Cervix).

•Bacteria anayesababisha Ugonjwa wa kisonono anaitwa Bacterium Neisseria gonorrhoeae.


•Kisonono mara nyingi husambazwa wakati wa kujamiiana kupitia Uke,mdomo na sehemu ya haja kubwa(kinyume na maumbile).


ƥLakini watoto ambao mama zao wana kisonono wanaweza kuambukizwa wakati wa kujifungua.


•Kwa Watoto,Kisonono huathiri macho.

DALILI ZA MWENYE MAAMBUKIZI YA KISONONO

-Mara nyingi maambukizi ya kisonono hayaoneshi dalili zozote ingawa kisonono kinauwezo wa kiathiri sehemu mbali mbali za mwili.Lakini sehemu ambazo huonesha dalili mara nyingi ni sehemu za siri.


(A) *DALILI ZA KISONONO KWA WANAUME:* 

⏬⏬⏬⏬

▶️ Maumivu wakati wa kukukojoa.

▶️ Kutokwa na majimaji mithili ya Usaha kwenye kichwa ya uume.(penis)

▶️ Maumivu ama uvimbe katika moja ya korodani.


(B) DALILI ZA KISONONO KWA WANAWAKE:

⏬⏬⏬⏬

▶️ Kuongezeka kutoka uchafu katika sehemu za siri za mwanamke(Vaginal discharge)

▶️ Kutokwa na damu katika sehemu zake kwa vipindi tofauti tofauti ama baada ya kujamiiana.

▶️ Maumivu ya tumbo/maumivu ya nyonga.

KISONONO KATIKA SEHEMU ZINGINE ZA MWILI


1⃣ Mlango wa haja kubwa(Rectum)

-Kuwashwa sehemu ya haja kubwa.

-Kutokwa na vitu kama usaha sehemu ya haja kubwa.

-Kupata choo kigumu


2️⃣ MACHO

-Maumivu ya macho

-Macho kupunguza uwezo wa kuona.

-Kutokwa na vitu kama Usaha kwenye jicho moja ama yote.


3️⃣ KWENYE KOO.

-Kutokwa na vivimbe kwenye koo

-Kuvimba kwa Lymphs katika shingo


4️⃣ KWENYE MAUNGIO (Joints)

-Maungio Kupata joto

-Maungio Kuvimba

-Maungio kuwa mekundu.

-Maumivu makali hasa wakati wa kutembea.

ATHARI ZA KISONONO

▶️ Ugumba kwa wanawake.

-Kisonono husambaa kwenye Mji wa mimba (Uterus,),mirija ya uzazi na kupelekea maambukizi katika viungo kwa uzazi (Pelvic inflammatory disease)-PID na hali hii inaweza kupelekea ugumba kwa wanawake.


▶️ Ugumba kwa wanaume.

-Kisonono huathiri mirija ya kusafirisha mbegu za uzazi na kiwanda cha kuzalisha mbegu hizo hivyo hupelekea Ugumba ikiwa haijatibiwa kwa haraka.


▶️ Maambukizi huweza kusambaa kwenye Joints na sehemu nyingine za mwili kwa njia ya damu.


▶️ Huongeza hatari ya Maambukizi ya virusi vya Ukimwi (HIV/AIDS)


▶️ Kisonono huweza kupelekea matatizo Kwa mtoto kama vile kuzaliwa mtoto akiwa kiziwi,majibu kwenye fuvu la kichwa na Maambukizi kwenye damu.


Kwa elimu, ushauri pamoja na matibabu sahihi  kutatua changamoto hii no 0714100697