*DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI*
☑️Kua na ukavu ukeni
☑️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
☑️Kutoa jasho usiku kusiko kawaida.
☑️Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.
☑️Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
☑️Siku za hedhi kubadilika``` badilika.
☑️Kukosa hedhi kwa muda mrefu.
☑️Kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
☑️Uchovu wa mara kwa mara.
☑️Hasira za mara kwa mara
☑️Kukosa usingizi
☑️Homa za usiku na kizunguzungu cha mara kwa mara.
☑️Mzio wa vyakula(allergy) kuchagua chagua vyakula.
☑️Kuongezeka tumbo na nyama uzembe.
☑️Kuharibika kwa ngozi (chunusi na vipele).
☑️Maumivu ya viungo.
☑️Upungufu wa nywele kichwani.
☑️Kusahau sana.
☑️kuwa na hamu ya vyakula au vinywaji vya viwandani.
☑️Kupata hedhi wakati wa ujauzito.
☑️Msongo wa mawazo kupitiliza
☑️Kutopata choo kwa wakati.
☑️Kusinyaa au kupauka kwa ngozi.
☑️Maumivu ya kichwa mara kwa mara.
MADHARA YA MVURUGIKO WA HOMONI
☑️Kutokushika ujauzito kwa muda mrefu
☑️Mimba kuharibika mara kwa mara
☑️Kuk osa mtoto au Ugumba
☑️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Ushauli ni bure 0714100697
