JE ! UNADALILI MOJAWAPO KATI YA HIZI👇👇
⏩ukavu ukeni.
⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
⏩Kutoa jasho usiku kusiko kawaida.
⏩ ```Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi.
⏩Kukosa hamu ya tendo la ndoa.```
⏩Siku za hedhi kubadilika``` badilika.
⏩Kukosa hedhi kwa muda mrefu.
⏩Kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
⏩Uchovu wa mara kwa mara.
⏩Hasira za mara kwa mara
⏩Kukosa usingizi
⏩Homa za usiku na kizunguzungu cha mara kwa mara.
⏩Mzio wa vyakula(allergy) kuchagua chagua vyakula.
⏩Kuongezeka tumbo na nyama uzembe.
⏩Kuharibika kwa ngozi (chunusi na vipele).
⏩Maumivu ya viungo.
⏩Upungufu wa nywele kichwani.
⏩Kusahau sana.
⏩kuwa na hamu ya vyakula au vinywaji vya viwandani.
⏩Kupata hedhi wakati wa ujauzito.
⏩Msongo wa mawazo.
⏩Kutopata choo kwa wakati.
⏩Kusinyaa au kupauka kwa ngozi.
⏩Maumivu ya kichwa mara kwa mara.
KAMA UNAPATA BAADHI YA DALILI HIZO USIENDELEE KUKAA NA KUSUBIRI TATIZO KUWA KUBWA KWANI TAYARI UNAKUWA NA HORMONAL IMBALANCE,
MADAHARA YAKE NI.👇👇
⏩Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu.
⏩Mimba kuharibika mara kwa mara.
⏩Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
⏩UTI.
⏩Kuzeeka mapema
⏩Kuziba mirija ya uzazi.
⏩ ```Uvimbe(fibroids &cysts).
_*KWA DALILI HIZO JUA KABISA UNA SHIDA YA MVURUGIKO WA VICHOCHEO AMA HORMONAL IBALANSI tuwasiliane 0714100697
