JIZUIE KULA VYAKULA HIVI UKIWA PERIOD 


Wakati wa hedhi wanawake na wasichana hupoteza damu na kupata mabadiliko ya homoni. 


Hali hii huambatana na maumivu ya tumbo,kiuno,mgongo pamoja na uchovu. 


Kuna baadhi ya vyakula au vinywaji ambavyo mwanamke akivitumia vinazidisha uchovu na maumivu  ya tumbo wakati wa hedhi.


Baadhi ya vyakula hivyo ni;👇


🟢Vyakula vilivyosindikwa:

➖Vyakula kama vile nyama za kopo,samaki za kopo,au maharage ya makopo n.k.


🟢Vyakula vyenye sukari nyingi na vinywaji

➖Sukari inapokuwa juu,mwili unaongeza uzalishaji wa insulin hivyo sukari inaweza kupanda na kushuka na kusababisha kuhisi uchovu mkali na kuumwa kichwa.


🟢Vyakula vyenye viungo vingi;

➖Viungo vingi na vikali vinaongeza gesi tumboni na kuzidisha kujiskia vibaya.


Kama unapenda viungo jaribu kutumia kidogo na visivyo vikali sana.


🟢Pombe 

➖Unywaji wa pombe kali kwa wingi unaweza kupelekea kupata uchovu na kupoteza damu nyingi ya hedhi.


🟢Vyakula vyenye mafuta mengi;

➖Vyakula kama burger na pizza vina mafuta mengi,ni chanzo cha kuvuruga homoni na huweza kua na chanzo cha kuzidisha maumivu ya period. 


🟢Kahawa;

➖Kahawa ina caffeine inayoweza kusababisha uchovu na maumivu makali ya period 


🟢Nyama nyekundu;

➖Wakati wa period  mwili unatoa kemikali ya prostaglandin inayosaidia kizazi kujiminya na kutoa damu,nyama nyekundu pia ina kemikali hiyo hivyo ulaji wake huweza kupelekea kuongezeka kwa maumivu ya period 


🟢Inashauriwa kutokula junk foods kama vile biscuits na vitafunwa vingine vyenye sukari na mafuta mengi kwani vinazidisha maumivu ya hedhi.


✍️Pia inashauriwa kubadilisha pedi angalau kila baada ya masaa 4 hadi 6 kulingana na damu inayotoka ilo kuzuia kupata maambukizi ya bacteria katika mfumo wako wa uzazi.


📌Jee,ulikuwa unajua??


Kwa ushauli zaidi no 0714100697