*Faida za cool roll.

Husaidia ;-

❇️Kuondoa uchovu wa safari ndefu na usingizi wa kwenye gari


❇️Husaidia kondoa maumivu  na kivimbe uchungu  cha kung'atwa na mbu au na mdudu.


❇️Husaidia kuondoa  kizunguzungu na kichwa kuuma.


❇️Husaidia kuondoa au kupunguza maumivu ya mgongo 


❇️Husaidia kutibu  mafua,kufungua mapufu na kufungua pua iliyoziba kwa makamasi.


❇️Husaidia kufukuza mbu.


❇️Husaidia  kukufanya ujisikie vizuri,


❇️ Pia ni sanitizer. 

Cool roll ni ya asili kabisaaa,imetengenezwa kwa mitishamba asilia

Kama .

*Menthol.*

*Winter green oil(gaultheria (pyrola)extract.*

*Camphor oil.*

*Eucalyptus oili.*

Matumizi.

Paka sehemu iliyoathirika.* *0714100697