UKE MKAVU♀️
LIJUE TATIZO LA UKE MKAVU
UKE MKAVU:Ni tatizo linalo sababishwa na upungu/kiwango kidogo/uwiano mbaya wa homoni za uzazi(HORMONE IMBALANCE)
UKE MKAVU:Ni tatizo linalo wasumbua akina dada na wanawake wengi ni uke usio na ute wa aina yoyote Haijalishi MWANAMKE Ameandaliwa kwa muda gani hapati Ute WA Uke Wala WA UZAZI
DALILI ZINAZOWEZA Ambatana NA Uke MKAVU NI;
♀️. Maumivu wakati wa ngono
♀️. Kusinyaa kwa kuta zauke
♀️. Kutokwa na damu wakati wa tendo
♀️. Kupoteza hamu ya tendo kutokana na maumivu
♀️. Maumivu ya uke wakati wa kufanya mazoezi kutembea, kukaa au kusimama
♀️. Kubadilika kwa mwonekano wa uke na mashavu ya uke
♀️. Kubadilika kwa tabia ya ute unaotoka ukeni
♀️. Kupata hisia za kuungua ukeni
♀️. Msongo wa mawazo na kuhisi mabadiliko makubwa mwilini mwako
VISABABISHI VYA UKE KUWA MKAVU KWA MWANAMKE
Vipo visababishi mbalimbali vinavyoweza kupelekea uke kuwa mkavu ambavyo vinafahamika ambavyo ni;
🔥. Kupungua kwa kiwango cha homoni estrogen kwenye damu
Tumekuandalia kirutubisho maalumu kitakacholejesha Ute na kuondoa ukavu wote UKENI na kukufanya kufulahia tendo
Ushauri ni bure 0714100697
