🚨 *DALILI ZA MTU MWEMYE NGIRI*


 πŸ‘‰πŸΏDalili za ugonjwa huu wa ngiri ziko nyingi sana kwa hiyo hapa nitataja dalili chache tu.

Nazo ndizo hizi zifuatazo⤵


πŸ‘‰πŸΏ1:Kubana tumbo khasa chini ya kitovu wakati wa baridi au unapokula vitu vitamu.


πŸ‘‰πŸΏ2.Kupiga mingurumo tumboni.


πŸ‘‰πŸΏ3.Kujaa gesi tumboni.


πŸ‘‰πŸΏ4.Kuhisi haja kubwa na ukifika chooni unatoa upepo tu.


πŸ‘‰πŸΏ5.Kupata haja ngumu kama ya mbuzi.


πŸ‘‰πŸΏ6.Kukaa siku kadhaa bila kwenda haja kubwa.


πŸ‘‰πŸΏ7.Wakati fulani unakwenda haja sana, kila mara.


πŸ‘‰πŸΏ8.Unaweza kufanya jimai mara moja tu kisha hamu inakuishia hupati nguvu tena mpaka kesho.


πŸ‘‰πŸΏ9.Nuru ya macho hupotea taratibu.


πŸ‘‰πŸΏ10.Hutokea wakati mwingine kufanya jimai mwanzo kabisa au katikati ya tendo gari linazimika.


πŸ‘‰πŸΏ11.Huvutwa makende au upande mmoja maumivu.


πŸ‘‰πŸΏ12.Hupiga mishale sehemu za haja kubwa na pembeni karibu na tupu.


πŸ‘‰πŸΏ13.Maumivu makali ya mgongo au kiuno.


πŸ‘‰πŸΏ14.Uume kusimyaa na kunywea kama wa mtoto


πŸ‘‰πŸΏ15 .Maumivu kati ya paja na kinena na hupelekea mguu kuwaka moto /kupata ganzi 


πŸ‘‰πŸΏ16. Kupata maumivu katikati ya kifua mithili ya chembe ya moyo (hiatal hernia).


πŸ‘‰πŸΏ17. Tumbo kujaa na kuonekana kama una kitambi kumbe ni gas.


πŸ‘‰πŸΏ18. Ukila vitu vyevye sukari nying kama soda nk tumbo huunguruma sana na kujaa gas.


πŸ‘‰πŸΏ19. Kuvimba kwa korodan ama korodan kupanda juu(moja ama zote kwa pomoja)


 *Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi Kwa namba 0714100697