*KUTOKWA NA HEDHI NYINGI NA MABONGE MABONGE*
*Na mshauri 0714100697
*Kutokwa na hedhi nyingi na mabonge mabonge* ni hali inayoweza kusababishwa na sababu mbalimbali, kama vile:
☑️Uvimbe katika via vya uzazi, kama vile fibroid au polyp
☑️ Mvurugiko wa homoni mwilini, kama vile kuzarisha homoni nyingi au kidogo za tezi ya thyroid
☑️ Matumizi ya njia za uzazi wa mpango, kama vile vifaa vya ndani ya kizazi au vidonge vya dharura kama vile p2
☑️ Mimba iliyoharibika au kujipandikiza nje ya mji wa mimba
☑️ Maambukizi kwenye uzazi kama vile PID
☑️ Kukaribia kwa kukomaa kwa hedhi(menopause)
☑️Saratani ya mlango wa uzazi
🔴Ili kujua sababu halisi ya tatizo lako ni vyema ukamuona dacktar kwa uchunguzi zaidi,
Daktari anaweza kukupima damu au kufanya ultrasound ili kugundua chanzo cha Kutokwa na hedhi nyingi na mabonge mabonge kulingana na sababu
🔴Kutokwa na hedhi nyingi na mabonge mabonge kunaweza kusababisha upungufu wa damu mwilini,
*kwa mwanamke mwenyeshida hii nanatakiwa kutibia mapema kabla hajapata madhara*
Wasiliana nasi Kwa namba 0714100697
